Kutokana na mchango mkubwa wa VICOBA hapa nchini katika kutoa huduma za kifedha kwa wananchi walio wengi katika maeneo ya vijijini na mijini na kuwezesha kuchangia kwa kasi katika kupambana na umaskini, Baraza la Taifa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi limeona ni vema Siku  ya  Kimataifa  ya  Kutokomeza  Umaskini Duniani yaani tarehe 17/10/2017 iwe pia ni adhimisho la Siku ya VICOBA Tanzania. BONYEZA HAPA KUPAKUA