Baraza la Taifa La Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) kwa kushirikiana na Taasisi ya Uendelezaji Sekta ya Fedha Nchini (FSDT) wanatekeleza program ya kuimarisha uratibu wa sekta ya uendelezaji biashara na ushauri hapa nchini. Katika kutekeleza program hii, utafanyika utafiti wa kutambua watoa huduma za kuendeleza biashara na ushauri nchini ili kuwatambua na kuimarisha uratibu wao. BONYEZA HAPA  KUPAKUA FOMU....