Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi limetoa mafunzo ya kujengea uwezo viongozi na waratibu wa Uwezeshaji Kanda ya Kaskazini (Kilimanjaro, Arusha na Tanga) yaliyofanyika katika Ukumbi wa Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro tarehe 23 - 26 Mei 2017