National Economic Empowerment Council

Prime Minister's Office

Friday, July 21, 2017 - 15:30

Watanzania wametakiwa kutumia fursa zinazoendelea kuwekwa na serikali ya awamu ya tano kujikita katika ujasiriamali na kuanzisha viwanda kwa ajili ya kujenga uchumi viwanda ili kufikia uchumi kati na kuboresha ustawi wa jamii hapa nchini

Wednesday, May 31, 2017 - 14:45

Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi linatarajia kufanya Kongamano la pili la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi tarehe 10 Juni 2017 Mjini Dodoma katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara ya Fedha na Mipango na kuhudhuriwa na wadau wasiopungua 300 kutoka kwenye sekta ya Umma na Binafsi nchini.

Wednesday, May 31, 2017 - 13:45

Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi lasaini makubaliano na Kampuni ya Magazeti ya Serikali katika kuhabarisha na kuelimisha umma zaidi kuhusu Kongamano la Uwezeshaji

Monday, May 29, 2017 - 13:30

Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi limetoa mafunzo ya kujengea uwezo viongozi na waratibu wa Uwezeshaji Kanda ya Kaskazini (Kilimanjaro, Arusha na Tanga) yaliyofanyika katika Ukumbi wa Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro tarehe 23 - 26 Mei 2017

Wednesday, May 10, 2017 - 11:15

Baraza Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) limesaini makubaliano na Taasisi ya Huduma Ndogo za Fedha ya UTT Microfinance PLC  ili kuongeza wigo wa mikopo kwa wajasiriamali  wanaotokana na program za vijana zinazoendeshwa na NEEC.

Thursday, April 20, 2017 - 16:00

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amefungua maonyesho ya Mifuko ya Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi leo tarehe 18/04/2017 mjini Dodoma katika viwanja vya Mashujaa.

Sunday, April 16, 2017 - 14:30

Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi limetoa mafunzo ya kujengea uwezo viongozi na waratibu wa Uwezeshaji Kanda ya Kati (Dodoma, Singida, Manyara, Shinyanga na Geita) yaliyofanyika katika Ukumbi wa Mkuu wa Mkoa Singida tarehe 10 - 13 Aprili 2017

Tuesday, April 4, 2017 - 09:45

Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wanachi Kiuchumi, linapenda kuwakaribisha Wananchi wote katika Maonesho ya Mifuko ya Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi yatakayofanyika Mkoani Dodoma katika Viwanja vya Mashujaa kuanzia tarehe 18-22 April,2017.

Thursday, March 30, 2017 - 09:00

The National Economic Empowerment Council (NEEC) in collaboration with the African Development Bank (AfDB) conducted a validation workshop of the Local Content Situational Analysis in Mining and Gas sectors on 20th March 2017 which had the theme “Unlocking the Potential of Gas