National Economic Empowerment Council

Prime Minister's Office

Monday, September 18, 2017 - 08:45

Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi ni Taasisi ya Serikali iliyoundwa na Sheria ya Uwezeshaji ya mwaka 2004, chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu. Baraza lina jukumu la kusimamia, kuratibu, kufuatilia na kutathmini utekelezaji wa shughuli za uwezeshaji Tanzania bara.

Thursday, August 10, 2017 - 12:15

Mradi wa Bomba la Mafuta ghafi kutoka Hoima Uganda mpaka Chongoleani, Tanga, Tanzania ni mmojawapo ya miradi mikubwa kutekelezwa nchini Tanzania ambao utagharimu dola za kimerakani 3.5 bilioni sawa na shillingi Trillioni 8 za kitanzania.

Friday, July 21, 2017 - 15:30

Watanzania wametakiwa kutumia fursa zinazoendelea kuwekwa na serikali ya awamu ya tano kujikita katika ujasiriamali na kuanzisha viwanda kwa ajili ya kujenga uchumi viwanda ili kufikia uchumi kati na kuboresha ustawi wa jamii hapa nchini

Wednesday, May 31, 2017 - 14:45

Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi linatarajia kufanya Kongamano la pili la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi tarehe 10 Juni 2017 Mjini Dodoma katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara ya Fedha na Mipango na kuhudhuriwa na wadau wasiopungua 300 kutoka kwenye sekta ya Umma na Binafsi nchini.

Wednesday, May 31, 2017 - 13:45

Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi lasaini makubaliano na Kampuni ya Magazeti ya Serikali katika kuhabarisha na kuelimisha umma zaidi kuhusu Kongamano la Uwezeshaji

Monday, May 29, 2017 - 13:30

Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi limetoa mafunzo ya kujengea uwezo viongozi na waratibu wa Uwezeshaji Kanda ya Kaskazini (Kilimanjaro, Arusha na Tanga) yaliyofanyika katika Ukumbi wa Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro tarehe 23 - 26 Mei 2017